Job 19:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata watoto wadogo hunidharau, mara ninapojitokeza wao hunizomea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata watoto wadogo hunidhihaki; ninapojitokeza, hunifanyia mzaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata watoto wadogo hunidharau; Nikiondoka, huninena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata watoto wadogo hunidharau, mara ninapojitokeza wao hunizomea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata watoto wadogo hunidhihaki, ninapojitokeza, hunifanyia mzaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata watoto wadogo hunidhihaki; ninapojitokeza, hunifanyia mzaha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata watoto wadogo hunidharau; Nikiondoka, huninena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata watoto wadogo hunidharau, mara ninapojitokeza wao hunizomea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walio vijana bado hunibezabeza, nikiinuka, husema maneno ya kunifyoza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata watoto wadogo hunidharau; Nikiondoka, huninena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata watoto wadogo wananizarau; wakati ninapojitokeza wao wananizomea.