Job 19:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwili wangu umebakia tu mifupa na ngozi, nimeponea chupuchupu baada ya kupoteza yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu; nimeponea nikiwa karibu kufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfupa wangu unagandamana na ngozi yangu na nyama yangu, Nami nimeokoka na ngozi ya meno yangu tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwili wangu umebakia tu mifupa na ngozi, nimeponea chupuchupu baada ya kupoteza yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu, nimeponea karibu na kufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu; nimeponea nikiwa karibu kufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfupa wangu unagandamana na ngozi yangu na nyama yangu, Nami nimeokoka na ngozi ya meno yangu tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwili wangu umebakia tu mifupa na ngozi, nimeponea chupuchupu baada ya kupoteza yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ngozi na nyama za mwili wangu zinagandamana na mifupa, kilichopona kwangu ni ufizi tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfupa wangu unagandamana na ngozi yangu na nyama yangu, Nami nimeokoka na ngozi ya meno yangu tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwili wangu umebakia tu mifupa na ngozi, nimeponyoka kisha kupoteza yote.