Job 19:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nioneeni huruma, nioneeni huruma enyi rafiki zangu; maana mkono wa Mungu umenifinya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nihurumieni, rafiki zangu, kuweni na huruma, kwa kuwa mkono wa Mungu umenipiga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nihurumieni, nihurumieni, enyi rafiki zangu, Kwa maana mkono wa Mungu umenigusa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nioneeni huruma, nioneeni huruma enyi rafiki zangu; maana mkono wa Mungu umenifinya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nihurumieni, rafiki zangu, iweni na huruma, kwa kuwa mkono wa Mungu umenipiga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nihurumieni, rafiki zangu, kuweni na huruma, kwa kuwa mkono wa Mungu umenipiga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nihurumieni, nihurumieni, enyi rafiki zangu, Kwa maana mkono wa Mungu umenigusa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nioneeni huruma, nioneeni huruma enyi rafiki zangu; maana mkono wa Mungu umenifinya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nihurumieni, nihurumieni, ninyi wenzangu! Kwani mkono wa Mungu umenipiga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nihurumieni, nihurumieni, enyi rafiki zangu, Kwa maana mkono wa Mungu umenigusa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munionee huruma, munionee huruma, enyi warafiki zangu; maana mukono wa Mungu umenigusa.