Job 19:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnaishusha hadhi yangu mpate kujikuza; mnanilaumu kwa kunyenyekezwa kwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu, na kutumia unyonge wangu dhidi yangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba mtajitukuza juu yangu, Na kunena juu yangu shutumu langu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnaishusha hadhi yangu mpate kujikuza; mnanilaumu kwa kunyenyekezwa kwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu na kwa kutumia unyonge wangu dhidi yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu, na kutumia unyonge wangu dhidi yangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa mtajitukuza juu yangu, Na kufanya aibu yangu kuwa hoja juu yangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnaishusha hadhi yangu mpate kujikuza; mnanilaumu kwa kunyenyekezwa kwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama mnajikuza kweli na kunibeua, kama mimi ni mtu apaswaye na kutwezwa, haya! Niumbueni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba mtajitukuza juu yangu, Na kunena juu yangu shutumu langu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munaishusha hali yangu mupate kujipandisha; munanitusi kwa kunyenyekezwa kwangu.