Job 19:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jueni kwamba Mungu amenitendea vibaya, na kuninasa katika wavu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya, naye amekokota wavu wake kunizunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jueni basi kuwa Mungu amenipotosha, Na kunizingira kwa wavu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jueni kwamba Mungu amenitendea vibaya, na kuninasa katika wavu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya naye amekokota wavu wake kunizunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya, naye amekokota wavu wake kunizunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jueni basi kuwa Mungu amenipotosha, Na kunizingira kwa wavu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jueni kwamba Mungu amenitendea vibaya, na kuninasa katika wavu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jueni, ya kuwa ndiye Mungu aliyenipotoa kwa kunitegea pande zote tanzi lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jueni basi kuwa Mungu amenipotosha, Na kunizingira kwa wavu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mujue kwamba Mungu amenitendea vibaya na kuninasa katika wavu wake.