Job 19:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama napiga yowe: ‘Dhuluma!’ Lakini sijibiwi. Naita kwa sauti kubwa, lakini sipati haki yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; ingawa ninaomba msaada, hakuna haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, nalia, Udhalimu, lakini sisikiwi; Naulilia msaada, wala hapana hukumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama napiga yowe: ‘Dhuluma!’ lakini sijibiwi. Naita kwa sauti kubwa, lakini sipati haki yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; ingawa ninaomba msaada, hakuna haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; ingawa ninaomba msaada, hakuna haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, nalia, Udhalimu, lakini sisikiwi; Naulilia msaada, wala hapana hukumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama napiga yowe: ‘Dhuluma!’ Lakini sijibiwi. Naita kwa sauti kubwa, lakini sipati haki yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Nikiulilia ukorofi sijibiwi, wala hakuna aniamuliaye, nikilalamika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, nalia, Udhalimu, lakini sisikiwi; Naulilia msaada, wala hapana hukumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninalalamika: “Mateso makali!” lakini sijibiwi. Ninaita kwa sauti kubwa, lakini sipati haki yangu.