Job 19:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njia yangu ameiziba kwa ukuta ili nisipite amezitia giza njia zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita; ameyafunika mapito yangu na giza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye ameiziba njia yangu nisipate kupita, Na kutia giza katika mapito yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njia yangu ameiziba kwa ukuta ili nisipite amezitia giza njia zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita, ameyafunika mapito yangu na giza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita; ameyafunika mapito yangu na giza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye ameiziba njia yangu nisipate kupita, Na kutia giza katika mapito yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njia yangu ameiziba kwa ukuta ili nisipite amezitia giza njia zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia yangu ameifunga kwa kitalu, nisipitie hapo, napo penye mikondo yangu amepapatia giza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye ameiziba njia yangu nisipate kupita, Na kutia giza katika mapito yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Njia yangu ameiziba kwa ukuta kusudi nisipite, njia zangu amezitia giza.