Job 20:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye mwenyewe itambidi kurudisha mali yake yote, watoto wake wataomba huruma kwa maskini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini, nayo mikono yake itarudisha mali yote aliyonyang’anya watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watoto wake watataka fadhili kwa maskini, Na mikono yake itarudisha mali yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye mwenyewe itambidi kurudisha mali yake yote, watoto wake wataomba huruma kwa maskini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini, nayo mikono yake itarudisha mali yote aliyonyang'anya watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini, nayo mikono yake itarudisha mali yote aliyonyang’anya watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watoto wake watataka fadhili kwa maskini, Na mikono yake itarudisha mali yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye mwenyewe itambidi kurudisha mali yake yote, watoto wake wataomba huruma kwa maskini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanawe watabembeleza walio wanyonge, mikono yao itazirudisha mali, alizozinyang'anya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watoto wake watataka fadhili kwa maskini, Na mikono yake itarudisha mali yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye mwenyewe atarudisha mali yake yote, watoto wake wataomba huruma kwa wamasikini.