Job 20:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Japo alijisikia amejaa nguvu za ujana, lakini zote zitalala pamoja naye mavumbini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, zitalala naye mavumbini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mifupa yake imejaa ujana wake, Lakini utalala nchi naye mavumbini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Japo alijisikia amejaa nguvu za ujana, lakini zote zitalala pamoja naye mavumbini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, zitalala naye mavumbini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, zitalala naye mavumbini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mifupa yake imejaa ujana wake, Lakini utalala naye chini mavumbini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Japo alijisikia amejaa nguvu za ujana, lakini zote zitalala pamoja naye mavumbini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo, mifupa yake izidi kuwa nazo nguvu za ujana, lakini haina budi kulala pamoja naye uvumbini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mifupa yake imejaa ujana wake, Lakini utalala nchi naye mavumbini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Japo alijisikia amejaa nguvu ya ujana, lakini italala pamoja naye katika mavumbi.