Job 20:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mdomoni mwake uovu ni mtamu kama sukari, anauficha chini ya ulimi wake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake naye huuficha chini ya ulimi wake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ingawa uovu una tamu kinywani mwake, Ingawa auficha chini ya ulimi wake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mdomoni mwake uovu ni mtamu kama sukari, anauficha chini ya ulimi wake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake naye huuficha chini ya ulimi wake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake naye huuficha chini ya ulimi wake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake, Ingawa auficha chini ya ulimi wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mdomoni mwake uovu ni mtamu kama sukari, anauficha chini ya ulimi wake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama anauona ubaya kuwa mtamu kinywani mwake, aufiche, upate kukaa chini ya ulimi wake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ingawa uovu una tamu kinywani mwake, Ingawa auficha chini ya ulimi wake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika kinywa chake uovu ni mutamu kama sukari, anauficha chini ya ulimi wake;