Job 20:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hataki kabisa kuuachilia, bali anaushikilia kinywani mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ingawa hawezi kukubali kuuachia uende, lakini huuweka kinywani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ingawa auhurumia, asikubali kuuacha uende zake. Lakini akaushika vivyo kinywani mwake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hataki kabisa kuuachilia, bali anaushikilia kinywani mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ingawa hawezi kukubali kuuachia uende, lakini huuweka kinywani mwake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ingawa hawezi kukubali kuuachia uende, lakini huuweka kinywani mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ingawa hawataki kuuachilia uende zake. Naye huushikilia kinywani mwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hataki kabisa kuuachilia, bali anaushikilia kinywani mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
autunze vizuri, asitake kuuachilia, ujiendee, ila auzuie, usiondoke penye ufizi wake:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ingawa auhurumia, asikubali kuuacha uende zake. Lakini akaushika vivyo kinywani mwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hataki kabisa kuuachilia, lakini anaushikilia katika kinywa chake.