Job 20:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ufikapo tumboni huwa mchungu, mkali kama sumu ya nyoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake, nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata hivyo chakula chake matumboni mwake kinabadilika, Kimekuwa ni nyongo za majoka ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ufikapo tumboni huwa mchungu, mkali kama sumu ya nyoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake, nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake, nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata hivyo chakula chake matumboni mwake kinabadilika, Kimekuwa ni nyongo za majoka ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ufikapo tumboni huwa mchungu, mkali kama sumu ya nyoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha hicho chakula chake kitageuzwa tumboni mwake kuwa uchungu wa pili mle ndani yake;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata hivyo chakula chake matumboni mwake kinabadilika, Kimekuwa ni nyongo za majoka ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini unapofika ndani ya tumbo unakuwa muchungu, mukali kama sumu ya nyoka.