Job 20:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anachonyonya mtu mwovu ni sumu ya nyoka; atauawa kwa kuumwa na nyoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atanyonya sumu za majoka; meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ataamwa sumu ya majoka; Na ulimi wa fira utamwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anachonyonya mtu mwovu ni sumu ya nyoka; atauawa kwa kuumwa na nyoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atanyonya sumu za majoka, meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atanyonya sumu za majoka; meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atanyonya sumu ya majoka; Na ulimi wa fira utamwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anachonyonya mtu mwovu ni sumu ya nyoka; atauawa kwa kuumwa na nyoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hivyo, alivyonyonya sumu iliyo ya pili, mwisho ulimi wa moma utamwua,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ataamwa sumu ya majoka; Na ulimi wa fira utamwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ananyonya sumu ya nyoka na nyoka atamuuma na kumwua.