Job 20:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matunda ya jasho lake atayaachilia, hatakuwa na uwezo wa kuyaonja,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila; hatafurahia faida itokanayo na biashara yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliyoyataabikia kazi atayarudisha, asiyameze; Kwa mali aliyoyapata, hatafurahi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matunda ya jasho lake atayaachilia, hatakuwa na uwezo wa kuyaonja,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila, hatafurahia faida itokanayo na biashara yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila; hatafurahia faida itokanayo na biashara yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliyoyataabikia kwa kazi atayarudisha, asiyameze; Kwa mali aliyoyapata, hatafurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matunda ya jasho lake atayaachilia, hatakuwa na uwezo wa kuyaonja,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliyoyasumbukia hana budi kuyarudisha, hawezi kuyameza, ijapo mapato yake yawe mengi mno, hayafurahii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliyoyataabikia kazi atayarudisha, asiyameze; Kwa mali aliyoyapata, hatafurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataacha matunda ya jasho lake. Hatakuwa na uwezo wa kuyaonja,