Job 20:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa sababu amewaangamiza maskini na kuwaacha, amenyakua nyumba ambazo hakuzijenga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa aliwadhulumu maskini na kuwaacha bila kitu; amenyang’anya kwa nguvu nyumba asizozijenga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana amewaonea na kuwaacha maskini; Amenyang'anya nyumba kwa jeuri, wala hataijenga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa sababu amewaangamiza maskini na kuwaacha, amenyakua nyumba ambazo hakuzijenga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu, amenyang'anya kwa nguvu nyumba asizozijenga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu; amenyang’anya kwa nguvu nyumba asizozijenga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana amewaonea na kuwaacha maskini; Amenyang'anya nyumba kwa jeuri, wala hataijenga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa sababu amewaangamiza maskini na kuwaacha, amenyakua nyumba ambazo hakuzijenga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani alipokwisha kuwaponda wanyonge, aliwaacha papo hapo, akanyang'anya nyumba, asizozijenga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana amewaonea na kuwaacha maskini; Amenyang’anya nyumba kwa jeuri, wala hataijenga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu amewaangamiza wamasikini na kuwaachilia, amenyanganya nyumba ambazo hakuzijenga.