Job 20:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kula hakuacha hata makombo, kwa hiyo fanaka yake yote haitadumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna chochote kitakachosalia kwa ajili yake ili ale; kufanikiwa kwake hakutadumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakikusalia kitu asichokula; Kwa hiyo kufanikiwa kwake hakutadumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kula hakuacha hata makombo, kwa hiyo fanaka yake yote haitadumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna cho chote kitakachosalia kwa ajili yake ili ale, kufanikiwa kwake hakutadumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna chochote kitakachosalia kwa ajili yake ili ale; kufanikiwa kwake hakutadumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakikusalia kitu asichokula; Kwa hiyo kufanikiwa kwake hakutadumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kula hakuacha hata makombo, kwa hiyo fanaka yake yote haitadumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ulafi wake hakikuwako kitu, asichokichukua; kwa sababu hii hivyo vyema vyake havikai kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakikusalia kitu asichokula; Kwa hiyo kufanikiwa kwake hakutadumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kula hakuacha hata makombo. Kwa hiyo fanaka yake yote haitadumu.