Job 20:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kileleni mwa fanaka dhiki itamvamia, balaa itamkumba kwa nguvu zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katikati ya wingi wa ustawi wake, dhiki itampata; taabu itamjia kwa nguvu zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika kujaa kwa wingi wake atakuwa katika dhiki; Mkono wa kila anayesumbuliwa utamjia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kileleni mwa fanaka dhiki itamvamia, balaa itamkumba kwa nguvu zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katikati ya wingi wa ustawi wake, dhiki itampata, taabu itamjia kwa nguvu zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katikati ya wingi wa ustawi wake, dhiki itampata; taabu itamjia kwa nguvu zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika kujaa kwa wingi wake atakuwa katika dhiki; Mkono wa kila anayesumbuliwa utamjia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kileleni mwa fanaka dhiki itamvamia, balaa itamkumba kwa nguvu zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo atakapofurikiwa, ndipo, atakaposongeka, mikono yao walioteswa naye ikimjia yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika kujaa kwa wingi wake atakuwa katika dhiki; Mkono wa kila anayesumbuliwa utamjia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakapotajirika sana atapatwa na taabu, hasara itamupata kwa nguvu zote.