Job 20:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akiwa anajishughulisha kushibisha tumbo, Mungu atamletea ghadhabu yake imtiririkie kama chakula chake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakapokuwa amelijaza tumbo lake, Mungu ataionesha ghadhabu kali dhidi yake, na kumnyeshea mapigo juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo atakapo kulijaza tumbo lake, Mungu atamtupia ukali wa ghadhabu zake, Na kuunyesha juu yake akiwa anakula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akiwa anajishughulisha kushibisha tumbo, Mungu atamletea ghadhabu yake imtiririkie kama chakula chake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati atakapokuwa amelijaza tumbo lake, Mungu ataionyesha ghadhabu kali dhidi yake na kumnyeshea mapigo yake juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakapokuwa amelijaza tumbo lake, Mungu ataionyesha ghadhabu kali dhidi yake, na kumnyeshea mapigo juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo atakapo kulijaza tumbo lake, Mungu atamtupia ukali wa ghadhabu zake, Na kuunyesha juu yake akiwa anakula.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akiwa anajishughulisha kushibisha tumbo, Mungu atamletea ghadhabu yake imtiririkie kama chakula chake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mungu atakapolijaza tumbo lake akituma kwake makali yake yawakayo moto, ayanyeshe juu yake yampatie chakula cha kushiba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo atakapo kulijaza tumbo lake, Mungu atamtupia ukali wa ghadhabu zake, Na kuunyesha juu yake akiwa anakula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akiwa anajishugulisha kwa kushibisha tumbo, Mungu atamuletea kasirani yake imutiririkie kama chakula chake.