Job 20:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Labda ataweza kuepa upanga wa chuma, kumbe atachomwa na upanga wa shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma, mshale wa shaba utamchoma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ataikimbia silaha ya chuma, Na uta wa shaba utamchoma kwa pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Labda ataweza kuepa upanga wa chuma, kumbe atachomwa na upanga wa shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma, mshale wa shaba utamchoma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma, mshale wa shaba utamchoma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ataikimbia silaha ya chuma, Na uta wa shaba utamchoma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Labda ataweza kuepa upanga wa chuma, kumbe atachomwa na upanga wa shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakapokuwa, ayakimbie mata ya chuma, uta wa shaba utampiga, achomwe;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ataikimbia silaha ya chuma, Na uta wa shaba utamchoma kwa pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Labda ataweza kuepuka upanga wa chuma, kumbe atachomwa na upanga wa shaba.