Job 20:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mshale utachomolewa kutoka mwilini mwake; ncha yake itatolewa mgongoni mwake ikingaa, vitisho vya kifo vitamvamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atauchomoa katika mgongo wake, ncha inayong’aa kutoka ini lake. Vitisho vitakuja juu yake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye autoa, nao watoka mwilini mwake; Naam, ncha ing'aayo yatoka katika nyongo yake; Vitisho viko juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mshale utachomolewa kutoka mwilini mwake; ncha yake itatolewa mgongoni mwake iking'aa, vitisho vya kifo vitamvamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atauchomoa katika mgongo wake, ncha ing'aayo kutoka katika ini lake. Vitisho vitakuja juu yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atauchomoa katika mgongo wake, ncha ing’aayo kutoka ini lake. Vitisho vitakuja juu yake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye autoa, nao watoka mwilini mwake; Naam, ncha ing'aayo yatoka katika nyongo yake; Vitisho viko juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mshale utachomolewa kutoka mwilini mwake; ncha yake itatolewa mgongoni mwake ikingaa, vitisho vya kifo vitamvamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akitaka kuutoa mshale, utakuwa umetokea mgongoni pake, chembe yake imetukayo itakuwa imeichoma nayo nyongo; basi, mastusho yatamjia vivyo hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye autoa, nao watoka mwilini mwake; Naam, ncha ing’aayo yatoka katika nyongo yake; Vitisho viko juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mushale utachomolewa kutoka katika mwili wake; incha yake itatolewa katika mugongo wake ikingaa, vitisho vya kifo vitamupata.