Job 20:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hazina zake zitaharibiwa, moto wa ajabu utamteketeza; kilichobaki nyumbani mwake kitateketezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
giza nene linavizia hazina zake. Moto usiopepewa na mtu utamteketeza, na kuangamiza yaliyosalia nyumbani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Giza lote linawekwa kwa ajili ya hazina zake; Moto ambao haukuvuviwa na mtu utamla; Utayateketeza yaliyosalia hemani mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hazina zake zitaharibiwa, moto wa ajabu utamteketeza; kilichobaki nyumbani mwake kitateketezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
giza nene linavizia hazina zake. Moto usiopepewa na mtu utamteketeza na kuangamiza yaliyosalia nyumbani mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
giza nene linavizia hazina zake. Moto usiopepewa na mtu utamteketeza, na kuangamiza yaliyosalia nyumbani mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Giza lote linawekwa kwa ajili ya hazina zake; Moto ambao haukuvuviwa na mtu utamla; Utayateketeza yaliyosalia hemani mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hazina zake zitaharibiwa, moto wa ajabu utamteketeza; kilichobaki nyumbani mwake kitateketezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo yote ya giza yako tayari kwake kuviangamiza vilimbiko, nao moto uwakao pasipo kupulizwa utamla mwenyewe, nayo yaliyosalia hemani mwake utayamaliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Giza lote linawekwa kwa ajili ya hazina zake; Moto ambao haukuvuviwa na mtu utamla; Utayateketeza yaliyosalia hemani mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hazina zake zitaharibiwa, moto wa ajabu utamuteketeza; kilichobaki katika nyumba yake kitateketezwa.