Job 20:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mali zake zitanyakuliwa katika siku ya ghadhabu ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mafuriko yataichukua nyumba yake, maji yaendayo kasi katika siku ya ghadhabu ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maongeo ya nyumba yake yataondoka, Yatamwagika mbali katika siku ya ghadhabu zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mali zake zitanyakuliwa katika siku ya ghadhabu ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mafuriko yataichukua nyumba yake, mali za nyumbani mwake zitachukuliwa na maji yaendayo kasi katika siku ya ghadhabu ya Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mafuriko yataichukua nyumba yake, maji yaendayo kasi katika siku ya ghadhabu ya Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mali ya nyumba yake yatanyakuliwa, Yatamwagika mbali katika siku ya ghadhabu zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mali zake zitanyakuliwa katika siku ya ghadhabu ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyumba yake iliyompatia yatatekwa, yatakuwa kama maji yakaukayo, siku ya ukali wake Mungu itakapotimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maongeo ya nyumba yake yataondoka, Yatamwagika mbali katika siku ya ghadhabu zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mali zake zitanyanganywa katika siku ya kasirani ya Mungu.