Job 20:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu yanisukuma nijibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimesikia maonyo yanayonitahayarisha, Nayo roho ya ufahamu wangu hunijibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu yanisukuma nijibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimesikia maonyo yanayonitahayarisha, Nayo roho ya ufahamu wangu hunijibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu yanisukuma nijibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninasikia maneno ya kunikanya, nayo ya kunitukana, lakini kwa utambuzi wangu ninajibiwa mengine rohoni mwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimesikia maonyo yanayonitahayarisha, Nayo roho ya ufahamu wangu hunijibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu inanisukuma nijibu.