Job 20:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mwovu atajiona ameshinda kwa muda tu, furaha yake asiyemcha Mungu ni ya muda mfupi tu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mwovu atajiona ameshinda kwa muda tu, furaha yake asiyemcha Mungu ni ya muda mfupi tu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mwovu atajiona ameshinda kwa muda tu, furaha yake asiyemcha Mungu ni ya muda mfupi tu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ya kuwa shangwe zao wasiomcha Mungu hukoma upesi? Ya kuwa furaha ya mwovu hukaa kitambo kidogo tu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mwovu atajiona ameshinda kwa muda tu, furaha ya asiyemwogopa Mungu ni ya muda mufupi tu!