Job 21:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, ng'ombe wao wote huongezeka, huzaa bila matatizo yoyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Madume yao ya ng’ombe huvyaza bila kushindwa kamwe; ng’ombe wao huzaa wala hawaharibu mimba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fahali wao huvyaza wala hapungukiwi na nguvu; Ng'ombe wao mke huzaa, asiharibu mimba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, ng'ombe wao wote huongezeka, huzaa bila matatizo yoyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Madume yao ya ng'ombe huvyaza bila kushindwa kamwe; ng'ombe wao huzaa wala hawaharibu mimba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Madume yao ya ng’ombe huvyaza bila kushindwa kamwe; ng’ombe wao huzaa wala hawaharibu mimba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fahali wao huvyaza wala hapungukiwi na nguvu; Ng'ombe wao jike huzaa, asiharibu mimba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, ng'ombe wao wote huongezeka, huzaa bila matatizo yoyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ng'ombe wao waume huzaza vema pasipo kukosa, ng'ombe wao wake huzaa vizuri pasipo kuharibu mimba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fahali wao huvyaza wala hapungukiwi na nguvu; Ng’ombe wao mke huzaa, asiharibu mimba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, ngombe wao wote wanaongezeka, wanazaa bila matatizo yoyote.