Job 21:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wao wachanga huwatembeza kama kundi; na watoto wao hucheza ngoma;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwatoa watoto wao nje kama kundi; wadogo wao huchezacheza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huwatoa kama kundi watoto wao. Na watoto wao hucheza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wao wachanga huwatembeza kama kundi; na watoto wao hucheza ngoma;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwatoa watoto wao nje kama kundi la kondoo na mbuzi, wadogo wao huchezacheza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwatoa watoto wao nje kama kundi; wadogo wao huchezacheza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huwatoa kama kundi watoto wao. Na watoto wao hucheza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wao wachanga huwatembeza kama kundi; na watoto wao hucheza ngoma;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huwatembeza watoto wao walio wengi kama kundi la kondoo, nao vijana wao huchezacheza na kupaza sauti
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huwatoa kama kundi watoto wao. Na watoto wao hucheza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wao wachanga wanatembea kama kundi; na watoto wao wanacheza ngoma;