Job 21:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kufanikiwa kwao si kuko mikononi mwao, wakiwa wamemweka Mungu mbali na mipango yao?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, hivyo najitenga mbali na ushauri wa waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, kufanikiwa kwao hakumo mkononi mwao; Mashauri ya waovu na yawe mbali nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kufanikiwa kwao si kuko mikononi mwao, wakiwa wamemweka Mungu mbali na mipango yao?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, hivyo najitenga mbali na shauri la waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, hivyo najitenga mbali na shauri la waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, kufanikiwa kwao hakumo mkononi mwao; Mipango ya waovu na iwe mbali nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kufanikiwa kwao si kuko mikononi mwao, wakiwa wamemweka Mungu mbali na mipango yao?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini tazameni: mema yao hawayashiki mikononi mwao, kwa hiyo mashauri yao wasiomcha Mungu na yanikalie mbali!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, kufanikiwa kwao hakumo mkononi mwao; Mashauri ya waovu na yawe mbali nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kufanikiwa kwao si kuko katika mikono yao, wakiwa wamemuweka Mungu mbali na mipango yao?