Job 21:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waone wao wenyewe wakiangamia; waone wenyewe ghadhabu ya Mungu mwenye nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Macho yake mwenyewe na yaone maangamizi yake; yeye na ainywe ghadhabu ya Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho yake mwenyewe na yaone uharibifu wake, Akanywe ghadhabu zake Mwenyezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waone wao wenyewe wakiangamia; waone wenyewe ghadhabu ya Mungu mwenye nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Macho yake mwenyewe na yaone maangamizi yake, yeye na ainywe ghadhabu ya Mwenyezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Macho yake mwenyewe na yaone maangamizi yake; yeye na ainywe ghadhabu ya Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho yake mwenyewe na yaone uharibifu wake, Akanywe ghadhabu zake Mwenyezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waone wao wenyewe wakiangamia; waone wenyewe ghadhabu ya Mungu mwenye nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
macho yao wenyewe yangeuona mwangamizo wao, wakinyweshwa makali yake Mwenyezi yaliyo yenye moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho yake mwenyewe na yaone uharibifu wake, Akanywe ghadhabu zake Mwenyezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waone wenyewe maangamizi yao; waone wenyewe kasirani ya Mungu Mwenye Uwezo.