Job 21:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anapochukuliwa kupelekwa kaburini, kaburi lake huwekewa ulinzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hupelekwa kaburini, nao ulinzi ukawekwa kwenye kaburi lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pamoja na hayo atachukuliwa kaburini, Nao watalinda zamu juu ya ziara lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anapochukuliwa kupelekwa kaburini, kaburi lake huwekewa ulinzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hupelekwa kaburini, nao ulinzi ukawekwa kwenye kaburi lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hupelekwa kaburini, nao ulinzi ukawekwa kwenye kaburi lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pamoja na hayo atachukuliwa kaburini, Nao watalinda zamu juu ya kaburi lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anapochukuliwa kupelekwa kaburini, kaburi lake huwekewa ulinzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye husindikizwa mpaka mazikoni, tena kaburini kwake wanangoja zamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pamoja na hayo atachukuliwa kaburini, Nao watalinda zamu juu ya ziara lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anapokamatwa kupelekwa katika kaburi, kaburi lake linalindwa.