Job 21:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikifikiri yaliyonipata nafadhaika nafa ganzi mwilini kwa hofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninapowaza kuhusu hili, ninaogopa, nao mwili wangu unatetemeka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata nikumbukapo nahuzunika, Na utisho wanishika mwilini mwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikifikiri yaliyonipata nafadhaika nafa ganzi mwilini kwa hofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninapowaza juu ya hili, ninaogopa, nao mwili wangu unatetemeka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninapowaza juu ya hili, ninaogopa, nao mwili wangu unatetemeka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata nikumbukapo nahuzunika, Na utisho wanishika mwilini mwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikifikiri yaliyonipata nafadhaika nafa ganzi mwilini kwa hofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli nami nikiyakumbuka nashikwa na woga, mwili wangu nao unakufa ganzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata nikumbukapo nahuzunika, Na utisho wanishika mwilini mwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikifikiri yaliyonipata ninafazaika, mwili wangu unatetemeka kwa hofu.