Job 21:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini basi waovu wanaishi bado? Mbona nguvu zao zaongezeka hata uzeeni?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona waovu wanaishi, Na kuwa wazee, naam, na kuongezeka kuwa na nguvu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini basi waovu wanaishi bado? Mbona nguvu zao zaongezeka hata uzeeni?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuongezeka kuwa na nguvu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona waovu wanaishi, Na kuwa wazee, naam, na kuongezeka kuwa na nguvu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini basi waovu wanaishi bado? Mbona nguvu zao zaongezeka hata uzeeni?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona wasiomcha Mungu huwapo? Mbona huwa wazee, nguvu zao zikiendelea kuongezeka?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona waovu wanaishi, Na kuwa wazee, naam, na kuongezeka kuwa na nguvu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini waovu wanaendelea kuishi? Mbona nguvu zao zinaongezeka hata katika uzee?