Job 21:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwao kila kitu ni salama bila hofu; wala kiboko cha Mungu hakiwafikii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu; fimbo ya Mungu haiko juu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyumba zao zi salama pasina hofu, Wala fimbo ya Mungu haiwapigi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwao kila kitu ni salama bila hofu; wala kiboko cha Mungu hakiwafikii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu, fimbo ya Mungu haiko juu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu; fimbo ya Mungu haiko juu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyumba zao ni salama bila hofu, Wala fimbo ya Mungu haiwapigi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwao kila kitu ni salama bila hofu; wala kiboko cha Mungu hakiwafikii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyumba zao hukaa salama pasipo kustushwa, nayo fimbo ya Mungu haiwapigi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyumba zao zi salama pasina hofu, Wala fimbo ya Mungu haiwapigi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwao kila kitu ni salama bila hofu, wala fimbo ya Mungu haiwafikii.