Job 22:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Twajua Mungu yuko huko juu mbinguni. Tazama nyota za juu kabisa zilivyo mbali!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu? Juu kuliko nyota zilizo juu sana!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mungu hayuko mbinguni juu? Tena tazama umbali wa nyota, jinsi zilivyo juu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Twajua Mungu yuko huko juu mbinguni. Tazama nyota za juu kabisa zilivyo mbali!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu? Juu kuliko nyota zilizo juu sana!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu? Juu kuliko nyota zilizo juu sana!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mungu hayuko mbinguni juu? Tena tazama umbali wa nyota, jinsi zilivyo juu!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Twajua Mungu yuko huko juu mbinguni. Tazama nyota za juu kabisa zilivyo mbali!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mungu hayuko mbinguni juu? Zitazame nazo nyota zilizoko mbali juu ya kichwa chako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mungu hayuko mbinguni juu? Tena tazama umbali wa nyota, jinsi zilivyo juu!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tunajua kwamba Mungu yuko kule juu mbinguni; Angalia jinsi nyota za juu kabisa zinavyokuwa mbali!