Job 22:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mawingu mazito yamemzunguka asipate kuona yeye hutembea nje ya anga la dunia!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisi atembeapo juu ya anga la dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mawingu mazito ni kifuniko chake, hata asione; Naye yuatembea juu ya kuba ya mbingu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mawingu mazito yamemzunguka asipate kuona yeye hutembea nje ya anga la dunia!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisi atembeapo juu ya anga la dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisi atembeapo juu ya anga la dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mawingu mazito ni kifuniko chake, hata asione; Naye yuatembea juu ya kuba ya mbingu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mawingu mazito yamemzunguka asipate kuona yeye hutembea nje ya anga la dunia!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hujificha mle mawinguni, asione kitu; hutembea na kuzunguka mbinguni tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mawingu mazito ni kifuniko chake, hata asione; Naye yuatembea juu ya kuba ya mbingu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mawingu mazito yamemuzunguka asipate kuona; anatembea inje ya anga la dunia!”