Job 22:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao walifagiliwa kabla ya wakati wao, misingi yao ilikumbwa mbali na maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliondolewa kabla ya wakati wao, misingi yao ikachukuliwa na mafuriko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ambao walinyakuliwa kabla ya wakati wao, Msingi wao ulimwagika kama kijito cha maji;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao walifagiliwa kabla ya wakati wao, misingi yao ilikumbwa mbali na maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliondolewa kabla ya wakati wao, misingi yao ikachukuliwa na mafuriko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliondolewa kabla ya wakati wao, misingi yao ikachukuliwa na mafuriko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ambao walinyakuliwa kabla ya wakati wao, Msingi wao ulimwagika kama kijito cha maji;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao walifagiliwa kabla ya wakati wao, misingi yao ilikumbwa mbali na maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zao zilipokuwa hazijatimia bado, ndipo, walipopokonywa, msingi wao ulipoyeyuka kuwa kama jito;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ambao walinyakuliwa kabla ya wakati wao, Msingi wao ulimwagika kama kijito cha maji;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao walifagiliwa mbele ya wakati wao, misingi yao imepelekwa mbali na maji.