Job 22:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mungu ndiye aliyejaza nyumba zao fanaka, lakini walimweka mbali na mipango yao!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ndiye alizijaza nyumba zao na vitu vizuri, hivyo ninajitenga mbali na mashauri ya waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye ndiye aliyezijaza nyumba zao vitu vyema; Lakini mashauri ya waovu na yawe mbali nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mungu ndiye aliyejaza nyumba zao fanaka, lakini walimweka mbali na mipango yao!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini yeye ndiye aliyezijaza nyumba zao na vitu vizuri, hivyo ninajitenga mbali na mashauri ya waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ndiye alizijaza nyumba zao na vitu vizuri, hivyo ninajitenga mbali na mashauri ya waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye ndiye aliyezijaza nyumba zao vitu vyema; Lakini mashauri ya waovu na yawe mbali nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mungu ndiye aliyejaza nyumba zao fanaka, lakini walimweka mbali na mipango yao!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye ndiye aliyezijaza nyumba zao vitu vyema; kwa hiyo mawazo yao wasiomcha na yawe mbali, yasinifikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye ndiye aliyezijaza nyumba zao vitu vyema; Lakini mashauri ya waovu na yawe mbali nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Mungu ndiye aliyejaza nyumba zao fanaka, lakini walimuweka mbali na mipango yao!