Job 22:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanyofu huona na kufurahi, wasio na hatia huwacheka na kuwadharau,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi, nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wenye haki huyaona hayo wakafurahi; Nao wasio na hatia huwacheka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanyofu huona na kufurahi, wasio na hatia huwacheka na kuwadharau,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi, nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wenye haki huyaona hayo wakafurahi; Nao wasio na hatia huwacheka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanyofu huona na kufurahi, wasio na hatia huwacheka na kuwadharau,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waongofu wakiyaona watafurahi, naye atakataye atawasimanga kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wenye haki huyaona hayo wakafurahi; Nao wasio na hatia huwacheka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wenye haki wanaona na kufurahi, wasiokuwa na kosa wanawachekelea.