Job 22:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanasema ama kweli maadui zetu wameangamizwa, na walichobakiza kimeteketezwa kwa moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Hakika adui zetu wameangamizwa, nao moto umeteketeza mali yao.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasema, Hakika hao waliotuinukia wamekatiliwa mbali, Na mabaki yao moto umeyateketeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanasema ama kweli maadui zetu wameangamizwa, na walichobakiza kimeteketezwa kwa moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘Hakika adui zetu wameangamizwa, nao moto umeteketeza mali zao.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘Hakika adui zetu wameangamizwa, nao moto umeteketeza mali zao.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wasema, Hakika hao waliotuinukia wamekatiliwa mbali, Na mabaki yao moto umeyateketeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanasema ama kweli maadui zetu wameangamizwa, na walichobakiza kimeteketezwa kwa moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe waliotuinukia wametoweka, nayo masao yao moto umeyala!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasema, Hakika hao waliotuinukia wamekatiliwa mbali, Na mabaki yao moto umeyateketeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanasema: kweli wale waadui zetu wameangamizwa, na walichoacha kimeteketezwa kwa moto.