Job 22:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sasa, Yobu, kubaliana na Mungu uwe na amani, na hapo mema yatakujia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sasa, Yobu, kubaliana na Mungu uwe na amani, na hapo mema yatakujia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sasa, Yobu, kubaliana na Mungu uwe na amani, na hapo mema yatakujia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jizoeze kuandamana naye Mungu, upate kutengemana! Mema yake yatakavyokufikia, ndivyo hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, Yobu, ukubaliane na Mungu ukuwe na amani, na kwa hiyo mazuri yatakufikia.