Job 22:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukimrudia Mungu na kunyenyekea, ukiondoa uovu mbali na makao yako,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukimrudia Mwenyezi, utajengwa; Ukiuondoa udhalimu mbali na hema yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukimrudia Mungu na kunyenyekea, ukiondoa uovu mbali na makao yako,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukimrudia Mwenyezi, utajengwa; Ukiuondoa udhalimu mbali na hema yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukimrudia Mungu na kunyenyekea, ukiondoa uovu mbali na makao yako,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakaporudi kwake Mwenyezi utajengwa, ni hapo, utakapoutoa upotovu mahemani mwako, usikukaribie tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukimrudia Mwenyezi, utajengwa; Ukiuondoa udhalimu mbali na hema yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukimurudilia Mungu na kunyenyekea, ukiondoa uovu mbali na makao yako,