Job 22:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ukitupilia mbali mali yako, ukaitupa dhahabu ya Ofiri ukingoni mwa kijito,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe hazina zako ziweke mchangani, Na dhahabu ya Ofiri iweke kati ya mawe ya vijito;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ukitupilia mbali mali yako, ukaitupa dhahabu ya Ofiri ukingoni mwa kijito,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe hazina zako ziweke mchangani, Na dhahabu ya Ofiri iweke kati ya mawe ya vijito;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ukitupilia mbali mali yako, ukaitupa dhahabu ya Ofiri ukingoni mwa kijito,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huo mchanga wenye dhahabu uutupe uvumbini, nayo dhahabu ya Ofiri itupe penye vijiwe vya mito!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe hazina zako ziweke mchangani, Na dhahabu ya Ofiri iweke kati ya mawe ya vijito;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ukitupilia mbali mali yako, ukitupa zahabu ya Ofiri kwenye ukingo wa kijito,