Job 22:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, ndipo utakapomfurahia Mungu mwenye nguvu na kutazama kwa matumaini;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, nawe utamwinulia Mungu uso wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani ndipo utakapojifurahisha katika Mwenyezi, Na kuinua uso wako kumwelekea Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, ndipo utakapomfurahia Mungu mwenye nguvu na kutazama kwa matumaini;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, nawe utamwinulia Mungu uso wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, nawe utamwinulia Mungu uso wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani ndipo utakapojifurahisha katika Mwenyezi, Na kuinua uso wako kumwelekea Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, ndipo utakapomfurahia Mungu mwenye nguvu na kutazama kwa matumaini;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ndipo, utakapomfurahia aliye Mwenyezi na kumwelekezea Mungu uso wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani ndipo utakapojifurahisha katika Mwenyezi, Na kuinua uso wako kumwelekea Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, ndipo utakapomufurahia Mungu Mwenye Uwezo na kuinua uso wako kwake.