Job 22:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, unadhani wamfurahisha Mungu kwa kuwa mnyofu? Au anapata faida gani kama huna hatia?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, Mwenyezi angefurahia nini kama ungekuwa mwadilifu? Au je, yeye angepata faida gani kama njia zako zingekuwa kamilifu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mwenyezi hupata furaha katika wewe kuwa mwenye haki? Au je, ni faida kwake, kwamba wafanya njia zako kuwa timilifu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, unadhani wamfurahisha Mungu kwa kuwa mnyofu? Au anapata faida gani kama huna hatia?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, Mwenyezi angefurahia nini kama ungekuwa mwadilifu? Au je, yeye angepata faida gani ikiwa njia zako zingekuwa kamilifu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, Mwenyezi angefurahia nini kama ungekuwa mwadilifu? Au je, yeye angepata faida gani kama njia zako zingekuwa kamilifu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mwenyezi hupata furaha katika wewe kuwa mwenye haki? Au je, ni faida kwake, kwamba wafanya njia zako kuwa timilifu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, unadhani wamfurahisha Mungu kwa kuwa mnyofu? Au anapata faida gani kama huna hatia?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itampendeza Mwenyezi, ukiwa mwongofu? Anapata nini, ukizitengeneza njia zako, zisikukoseshe?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mwenyezi hupata furaha katika wewe kuwa mwenye haki? Au je, ni faida kwake, kwamba wafanya njia zako kuwa timilifu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unazani kwamba unamufurahisha Mungu Mwenye Uwezo kama wewe ni mwenye haki? Au anapata faida gani kama uko mukamilifu?