Job 22:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye humwokoa mtu asiye na hatia; wewe utaokolewa kwa matendo yako mema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atamwokoa hata yule ambaye ana hatia, ataokolewa kwa sababu ya usafi wa mikono yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atamwokoa na huyo asiye na hatia; Naam, utaokolewa kwa sababu ya usafi wa mikono yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye humwokoa mtu asiye na hatia; wewe utaokolewa kwa matendo yako mema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atamwokoa hata yule ambaye ana hatia, ataokolewa kwa sababu ya usafi wa mikono yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atamwokoa hata yule ambaye ana hatia, ataokolewa kwa sababu ya usafi wa mikono yako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atamwokoa na huyo asiye na hatia; Naam, utaokolewa kwa sababu ya usafi wa mikono yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye humwokoa mtu asiye na hatia; wewe utaokolewa kwa matendo yako mema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye asiyetakata atamponya, kweli atapona kwa mikono yako, ikiwa imetakata. Iyobu akajibu, akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atamwokoa na huyo asiye na hatia; Naam, utaokolewa kwa sababu ya usafi wa mikono yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anamwokoa mutu asiyekuwa na kosa. Nawe utaokolewa kwa sababu haukutenda mabaya.