Job 22:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe umemnyanganya ndugu yako nguo ya rehani; umemchukulia nguo hiyo moja aliyokuwa nayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu; umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa umetwaa dhamana kwa nduguyo bure, Na kuwavua nguo zao walio uchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe umemnyang'anya ndugu yako nguo ya rehani; umemchukulia nguo hiyo moja aliyokuwa nayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu, umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu; umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa umetwaa dhamana kwa nduguyo bure, Na kuwavua nguo zao walio uchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe umemnyanganya ndugu yako nguo ya rehani; umemchukulia nguo hiyo moja aliyokuwa nayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndugu zako uliwatoza rehani bure tu, nao wakosao nguo ukawavua mavazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa umetwaa dhamana kwa nduguyo bure, Na kuwavua nguo zao walio uchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe umemunyanganya ndugu yako nguo ya rehani; umemutwaa nguo hiyo moja anayokuwa nayo.