Job 22:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umewanyima maji wale waliokuwa wamechoka; umewanyima chakula wale walio na njaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hukumpa maji aliyechoka, nawe ulimnyima chakula mwenye njaa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hukumpa maji ya kunywa huyo aliyechoka, Nawe umemnyima chakula huyo mwenye njaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umewanyima maji wale waliokuwa wamechoka; umewanyima chakula wale walio na njaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hukumpa maji aliyechoka, nawe ulimnyima chakula mwenye njaa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hukumpa maji aliyechoka, nawe ulimnyima chakula mwenye njaa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hukumpa maji ya kunywa huyo aliyechoka, Nawe umemnyima chakula huyo mwenye njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umewanyima maji wale waliokuwa wamechoka; umewanyima chakula wale walio na njaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye kiu hukumpa maji, apate kunywa, naye mwenye njaa ukamnyima chakula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hukumpa maji ya kunywa huyo aliyechoka, Nawe umemnyima chakula huyo mwenye njaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umewanyima maji wale waliokuwa wamechoka; umewanyima chakula wale wanaokuwa na njaa.