Job 22:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umemruhusu mwenye cheo kuchukua ardhi yote; umemwacha anayependelewa aishi humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ingawa ulikuwa mtu mwenye uwezo ukimiliki nchi: mtu uliyeheshimiwa, ukiishi ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini huyo shujaa, nchi ilikuwa yake; Na huyo mwenye kusifiwa, yeye aliikaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umemruhusu mwenye cheo kuchukua ardhi yote; umemwacha anayependelewa aishi humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ingawa ulikuwa mtu mwenye uwezo ukimiliki nchi, mtu uliyeheshimiwa, ukiishi ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ingawa ulikuwa mtu mwenye uwezo ukimiliki nchi: mtu uliyeheshimiwa, ukiishi ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini huyo shujaa, nchi ilikuwa yake; Na huyo mwenye kusifiwa, yeye aliikaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umemruhusu mwenye cheo kuchukua ardhi yote; umemwacha anayependelewa aishi humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliyekuwa mwenye mkono, nchi ikawa yake, naye aliyejivuna usoni pa watu ndiye aliyepata kukaa huku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini huyo shujaa, nchi ilikuwa yake; Na huyo mwenye kusifiwa, yeye aliikaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umemuruhusu mwenye cheo kunyanganya inchi yote; umemwacha anayependelewa aishi mule.