Job 22:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umewaacha wajane waende mikono mitupu; umewanyima yatima uwezo wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umewafukuza wajane mikono mitupu na kuzivunja nguvu za yatima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umewafukuza wanawake wajane hali ya utupu, Na mikono ya mayatima imevunjwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umewaacha wajane waende mikono mitupu; umewanyima yatima uwezo wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umewafukuza wajane mikono mitupu na kuzivunja nguvu za yatima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umewafukuza wajane mikono mitupu na kuzivunja nguvu za yatima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umewafukuza wanawake wajane bila chochote, Na mikono ya mayatima imevunjwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umewaacha wajane waende mikono mitupu; umewanyima yatima uwezo wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wajane uliwafukuza kwako, wajiendee mikono mitupu, nao waliofiwa na wazazi wakaumizwa mikono.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umewafukuza wanawake wajane hali ya utupu, Na mikono ya mayatima imevunjwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umewaacha wajane waende mikono mitupu; umewaponda wayatima mikono yao.