Job 23:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yeye anajua njia ninayofuata; atakapomaliza kunijaribu nitatoka humo safi kama dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini anaijua njia niiendeayo; akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yeye aijua njia niendeayo; Akisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yeye anajua njia ninayofuata; atakapomaliza kunijaribu nitatoka humo safi kama dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini anaijua njia niiendeayo, akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini anaijua njia niiendeayo; akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yeye aijua njia niendeayo; Akisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yeye anajua njia ninayofuata; atakapomaliza kunijaribu nitatoka humo safi kama dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini anaijua njia, niliyoishika: kama angenijaribu, ningetokea nikitakata kama dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yeye aijua njia niendeayo; Akisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yeye anajua njia ninayofuata; atakapomaliza kunipima nitatoka mule safi kama zahabu.