Job 23:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe sijaacha kushika amri yake, maneno yake nimeyatunza moyoni mwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sijaziacha amri zilizotoka mdomoni mwake; nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe sijaacha kushika amri yake, maneno yake nimeyatunza moyoni mwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sijaziacha amri zilizotoka midomoni mwake, bali nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sijaziacha amri zilizotoka midomoni mwake; nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe sijaacha kushika amri yake, maneno yake nimeyatunza moyoni mwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikurudi nyuma na kuliacha agizo la midomo yake, maneno ya kinywa chake nikayaangalia kuliko maongozi yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sijaacha hata kidogo kushika amri yake; maneno yake nimeyatunza ndani ya moyo wangu.